13 February 2016

HATIMAYE RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AKUTANA NA Arsene Wenger KOCHA WA ARSENAL

PIC OF THE DAY: Rwandan President Paul Kagame meets Arsenal manager Arsene Wenger in London. Kagame is an ardent Gunners' fan. What about you?

ALICHO ANDIKA ZITTO KABWE JUU YA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI HII LEO


NEW SONG | Hammer Q-Tuwakomoe | Download Mp3



HATIMAYE MASANJA MKANDAMIZAJI AANZA KUBATIZA WATU



ASANTENI KWA MAOMBI RAFIKI ZANGU , LEO NIMEANZA NA IBADA YA UBATIZO WA MAJI MENGI NA SASA KAMA KAWAIDA STREET GOSPEL INAENDELEA PANDE ZA TEMEKE MWEMBE YANGA. MUNGU AWABARIKI SANAAA!!! KWA MATUKIO ZAIDI NJOO HUKU

Picha: Mapokezi ya Diamond, familia yake na Team yake Mjini KISUMU

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya jana akiwa na Zari  na Tiffah pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini Kisumu nchini Kenya, na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana pamoja na ‘sound check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika leo mjini humo.
DIANOND5
DIAMOND09
DIAMOND45
DIAMOND234DIAMOND3422
DIAMOND2312

RAIS MAGUFULI ASEMA MKUU WA WILAYA YA PAUL MAKONDA AKIPANDA CHEO WATU WASISHANGAE

http://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/MAKONDA.jpg
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH; PAUL MAKONDA

AKIONGEA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM RAIS MAGUFULI AMEMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA KWA JITIHADA ZAKE KATIKA KUFANIKISHA WATOTO WANAPATA ELIMU KWA KUHAMASISHA UJENZI WA MADARASA

BREAKING NEWZZZ....RAIS MAGUFULI AFYEKA MISHAHARA YA MAWAZIRI WAKE NA MSHAHARA WAKE NA KUZIWEKA KWENYE ELIMU

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqfRC1WLi1cP7oR461eDpymSN72TFdjGhg7Vk8CU5Bl8gXe5zTq63I5OIGLtvNOK_-s1-TgnrnaG8SYSGvbj7kFHqpddC7LbAFHa7uLUjFwkH8toHwS81PQiF43gE6LmHZp7GiOncx3Qlh/s400/magufuli1.jpg 
RAIS  MAGUFULI AMETAKA KILA WAZIRI ATOE TSH. MILIONI 1 KWENYE MSHAHARA WAKE ,PAMOJA NA YEYE MWENYEWE NA MSHAHARA WA MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU ILI ZITIMIE MILIONI 100 NA ATAWAPATIA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA AJILI YA KUBORESHA ELIMU.

MGOMBEA URAIS WA MAREKANI ..DONALD TRUMP ASEMA AFRIKA NI LAZIMA ITAWALIWE TENA KIKOLONI

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/b/b3/Donald_August_19_(cropped).jpgDonald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be Recolonized”
American business mogul Donald Trump has said that Africa needs to be recolonized. This time around he has directed his anger to African leaders who according to Trump, have failed to exercise leadership and are keeping their people in worse conditions.
Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.
Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.
“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question. I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be live presidents. They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example. The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-tone countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.

New Music Beka Ibrozama - YOU AND I | Download Mp3

Valentine Special Gift from BEKA IBROZAMA, the song titled YOU AND I



Beka Ibrozama (Official Video) - YOU AND I | Download


Beka Ibrozama (Official Video) - YOU AND I | Download 


NEW VIDEO: Yemi Alade, Iyanya, Olamide, Tekno & Selebobo – Mama Oyoyo

. After the successful release of the Hit Single ‘ Mama Oyoyo ‘ ,a song AY the Comedian’s Premium Music brought together 5 of Nigeria’s biggest Artistes to celebrate Mothers all around the world. The Visuals is finally out.
Directed by One of Nigeria’s finest Directors, ‘AJE‘ had Superstars: Iyanya,Yemi Alade, Tekno, Olamide and Selebobo render a very perfect display in a song touted to be the biggest song of 2016. Watch, Comment and Share as we celebrate mothers all around the world. #MySweetMothe

DR.SLAA ATOA MAJIBU HAYA ...BAADA YA GAZETI LA TANZANIA DAIMA KUANDIKA NYUMBA YAKE IMEUZWA



Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa ametoa majibu kuhusu taarifa zinazoandikwa kwenye baadhi ya magazeti nchini pamoja na mitandao kuwa nyumba yake iliyoko Mbezi jijini Dar es Salaam inauzwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Benki ikidaiwa kuwa mkewe aliuchukua na kumpa mwanaume mwingine.
Taarifa hizo zilieleza kuwa Mke wa Dk. Slaa, Josephine alichukua mkopo wa shilingi milioni 300 katika moja kati mabenki nchini na kushindwa kuirudisha fedha hiyo.
Dk. Slaa ambaye yuko nchini Canada akijiendeleza kimasomo, alikanusha taarifa hizo na kueleleza kuwa yeye na mkewe Josephine hawajawahi kuchukua mkopo katika benki yoyote nchini.
“Nataka nikuambie na uwajulishe Watanzania kwamba wala si mimi Dk. Slaa wala mke wangu, Josephine kwa wakati wowote ule hatujawahi kuchukua mkopo benki,” Dk. Slaa aliliambia gazeti la Mtanzania kwa njia ya simu.
“Tangu nitoke Bungeni sijawahi kuchukua hata senti moja benki, achilia mbali propaganda ya shilingi milioni 300. Hivyo, ni vizuri waliokupa taarifa wakupe undani ni benki ipi nilikopa au Josephine alikopa na ni shilingi ngapi na kwa nyaraka zipi. Na ni vema ukafuatilia benki husika pia kama walikuwambia ni benki gani,” Mwanasiasa huyo mkongwe alieleza.
Dk. Slaa ambaye alitangaza mwaka jana kustaafu siasa, alisema kuwa anapanga kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wote walioandika habari hizo.

Comments system

Disqus Shortname