Saa
chache baada ya rais Magufuli kutangaza baraza lake la Mawaziri ambalo
limekuwa baraza dogo kama alivyoahidi, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi (CUF) na mbun
ge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu
wamekosoa uteuzi wa Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Harison Mwakyembe.
ndundulisu anyamaze hana sifa ya kuliongelea hilo!!
ReplyDeletesorry i mean Tundulisu.
ReplyDelete