Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya jana akiwa na Zari na
Tiffah pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini Kisumu nchini Kenya,
na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana pamoja na ‘sound
check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika leo mjini
humo.
No comments:
Post a Comment