18 October 2013

KWA WANAO TAFUTA WACHUMBA AMA URAFIKI WA MAPENZI HII POST INAKUHUSU

Je umeshawahi kusiki site inaitwa www.hupendo.com , kama bado hii ni site ya kukutanisha watu wanao hitaji mahusiano ya kimapenzi , kwa kizungu wanasema "Dating" so kama upo single na unahitaji kumeet Singles wenzako kutoka Tanzania ili mfahamiane na mwisho kujenga mahusiano basi click Hapa sasa
hivi....www.hupendo.com   ...Ujioneeee jisajili ili uwe member

25 comments:

 1. NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE KUTOKA MBEYA.
  Nipo serious katika jambo hili.
  Kama wewe ni msichana kutoka Mbeya na upo serious unahitaji kuingia kwenye ndoa na kuanzisha familia soma hapa

  Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27, mtanzania, mwenyeji wa Mbeya. Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu kutoka mkoani mbeya, ( mwenyeji wa Mbeya), ambaye urafiki utaishia kwenye uchumba na mwisho ndoa kama tukiridhiana. Cha msingi awe ni msichana aliye serious na anayehitaji kwa dhati kabisa kuingia kwenye ndoa kuanzisha familia.

  SIFA ZA MSICHANA NINAYEMUHITAJI;
  1. Awe mweupe au maji ya kunde, asiwe mnene
  2. Asizidi miaka 23
  3. Mkristo
  4. Awe na kazi au asiye na kazi
  5. Elimu yoyoyte
  6. Asiwe na mtoto
  7. Asiwe amewahi kuolewa
  8. Mwenyeji wa Mbeya
  9. kabila lolote, lakini awe mwenyeji wa mbeya

  KUHUSU MIMI:
  Maelezo yote kuhusu mimi nitamueleza muhusika tu baada ya kuwasiliana.

  TAFADHALI NAHITAJI MSICHANA ALIYESERIOUS KATIKA SWALA HILI TU, VINGINEVYO SITAKI KUPOTEZEANA MUDA.
  Kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0769980144

  ReplyDelete
 2. natafuta mchumba wa kike ambaye baadae tunaweza kubalikiwa tukaoana,,awe na umri kuanzia miaka 22-30,mkristo,elimu kuanzia form four ,na kuendelea, mcha Mungu,,nitafute kwa email hii winstonwkas@yahoo.com au kwa number hii 0688028000

  ReplyDelete
 3. NATAFUTA RAFIKI/MCHUMBA WA KIKE KUTOKA BUKOBA.
  Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, mtanzania, mwenyeji wa Bukoba. Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu kutoka Bukoba, ( mwenyeji wa bukoba), ambaye urafiki utaishia kwenye uchumba na mwisho ndoa kama tukiridhiana.
  Pia awe mwalimu wa shule ya msingi au sekondari, Asizidi miaka 24, awe Mkristo, hasiwe na mtoto, hasiwe amewahi kuolewa. Awe Mwamnifu, mkweli, mcha Mungu awe na hofu ya Mungu ndani yake kwa kila anachokifanya. Asiwe mdanganyifu, ukristo uwe halisi kwenye maisha yake. Awe mtaratibu,mwaminifu, mwenye tabia njema na awe na busara.
  I am serious on this request. kwa aliye tayari au mwenye uhitaji kama wangu tuwasiliane kwani I am too lonely. Ukiweza kutuma na picha nitafurahi sana.
  Email; avitusjohn@gmail.com

  ReplyDelete
 4. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 5. NAITWA ADAM NDUNGURU UMRI WANGU MIAKA 23 ELIMU YANGU UDEREVA NATAFUTA MCHUMBA WAKUISHI NAE AWE NA KAZI YOYOTE ILE NA AWE NA MAPENZI YA KWELI UMRI KUANZIA MIAKA 15 HADI 22 ANITAFUTE KWENYE NAMBA HII 0718470122

  ReplyDelete
 6. Natafuta Mchumba / Mume. Miaka kuanzia 32-35, dini / kabila lolote. Kwenye nia na mapnz yadhati. Mimi npo dar.kwa rangi awe Mweupe/Maji yakunde. Awe mfanya kz wa Serikali/kuajiriwa/kujiajili.Mpambanaji ktk maisha.no.0769 834767

  ReplyDelete
 7. umri wangu ni miaka 25,natafuta rafiki wa kike baadae awe mke wangu,umri kuanzia miaka 20 -24,,Nafanya kazi serikalini,naishi dar es salaam.nicheki kwa number hii.0755454320 au 0715242345

  ReplyDelete
 8. Naitwa emanuel silwimba natafuta marafiki jinsia zote email yangu.emanuelsilwimba8@gmail.com.

  ReplyDelete
 9. NAITWA ADAM NDUNGURU UMRI WANGU MIAKA 23 ELIMU YANGU UDEREVA NATAFUTA MCHUMBA WAKUISHI NAE AWE NA KAZI YOYOTE ILE NA AWE NA MAPENZI YA KWELI UMRI KUANZIA MIAKA 15 HADI 22 ANITAFUTE KWENYE NAMBA HII 0718470122

  Reply

  ReplyDelete
 10. natafuta sugar mumy,nimpe mapenzi aliyetayari 0715242345

  ReplyDelete
 11. Jiunge na www.nimpende.com kupata marafiki/wachumba/wapenzi BURE.

  ReplyDelete
 12. naomba utoe hii post ya number 0688028000

  ReplyDelete
 13. natafuta msichana wa kike. mimi nina miaka 24, yeye awe na miaka kuanzia 19-23. anipigie kwenye namba 0712656473

  ReplyDelete
 14. Natafuta mmama aliyenizidi umri mimi nina miaka 35,ajipende na anipende nami nitampenda sana.nitafute kwa email joseph_ngonyani@yahoo.com

  ReplyDelete
 15. Naitwa John natafuta marafiki wa kike wa kuchat nao na kubadilishAna nao mawazo my number 0675354997

  ReplyDelete
 16. NATAFUTA RAFIKI WA KIKE

  Nipo serious katika jambo hili.
  Kama wewe ni msichana kutoka Dar.a

  Mimi ni kijana wa kiume. Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike, mstaarabu na anayejiheshimu kutoka Dar, ambaye urafiki utaishia kwenye uchumba na mwisho ndoa kama tukiridhiana. Cha msingi awe ni msichana aliye serious na anayehitaji kwa dhati kabisa.

  KUHUSU MIMI:
  Maelezo yote kuhusu mimi nitamueleza muhusika tu baada ya kuwasiliana.
  TAFADHALI NAHITAJI MSICHANA ALIYESERIOUS KATIKA SWALA HILI TU, VINGINEVYO SITAKI KUPOTEZEANA MUDA.

  Anitafute kupitia: xiedigo@yahoo.com

  ReplyDelete
 17. hi, natafuta msichana alie serious awe mpenzi wangu na baadae mke wangu. awe mwenye mapenzi ya kweli na mkweli.mimi nipo dar, sibagui dini wala kabila. umri asiwe amezidi miaka 27. alie tayari nichek kwa 07 15 86 67 45

  ReplyDelete
 18. naitwa stephen natafuta mchumba check me whatsap +255684626157

  ReplyDelete
 19. Naitwa Frank natafuta mke, nna miaka 35, nahitaji mdada asiezidi miaka 28, asiwe na mtoto, awe na elimu kuanzia form foum six, awe mweupe, anaweza kunicheki tufahamiane kwa 0659288360

  ReplyDelete
 20. Naitwa Frank natafuta mke, nna miaka 35, nahitaji mdada asiezidi miaka 28, asiwe na mtoto, awe na elimu kuanzia form foum six, awe mweupe, anaweza kunicheki tufahamiane kwa 0659288360

  ReplyDelete
 21. Naitwa Frank natafuta mke, nna miaka 35, nahitaji mdada asiezidi miaka 28, asiwe na mtoto, awe na elimu kuanzia form foum six, awe mweupe, anaweza kunicheki tufahamiane kwa 0659288360

  ReplyDelete
 22. Naitwa dessiny natafuta marafik wa kike wa kuchat nae umri 18-25 my number 0652 034145

  ReplyDelete
 23. Naitwa david natafura rafiki wa kike 19-22 -
  0683641183

  ReplyDelete
 24. Naitwa david natafura rafiki wa kike 19-22 -
  0683641183

  ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname