HATIMAYE MASANJA MKANDAMIZAJI AANZA KUBATIZA WATU
ASANTENI
KWA MAOMBI RAFIKI ZANGU , LEO NIMEANZA NA IBADA YA UBATIZO WA MAJI
MENGI NA SASA KAMA KAWAIDA STREET GOSPEL INAENDELEA PANDE ZA TEMEKE
MWEMBE YANGA. MUNGU AWABARIKI SANAAA!!! KWA MATUKIO ZAIDI NJOO HUKU
No comments:
Post a Comment