03 January 2016

MFUASI WA LOWASSA AMVAA RAIS MAGUFULI,WANANCHI WAMPINGA WAMWAGIA SIFA MAGUFULI

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, DkWakati watu mbalimbali wakimminia sifa Rais John Magufuli kwa kubana matumizi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga amesema uwingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya yake ya kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname