31 March 2015

MENGI NA MKE WAKE KY_LYNN WAMEFUNGA HARUSI YA KIHISTORIA... TAZAMA HAPA


Hiki ni kisiwa cha Mauritius moja ya visiwa vinavyovutia dunia ndipo chaguo la Bwana Mengi kwa ajili ya harusi yake na Beautiful Onyenyi wake Ky_Lynn pamoja na watoto wao mapacha wawiliWapo watu walipata nafasi ya kuhudhuria harusi hii ukiachia watoto aliozaa na bi mkubwa ndiyo hawakuweza kupata mwaliko wa kuwepo kwenye harusi hii, hizo ni nyatu nyatu za mjini
inasemekana harusi hiyo imefanyika jumamosi ya tarehe 28 ndani ya viunga ya kisiwa hiki huko Mauritius.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname