03 January 2014

Ikiwa ni mwaka mmoja toka Sajuki afariki dunia,hiki ndicho alichokiandika Wastara

Wastara-Juma-pics-533Jana Januari 02 ni kumbukumbu cha kifo cha Sajuki star aliyekuwa akitokea kiwanda cha filamu Bongo yaani Bongo
movie,kumbukumbu zimefanyika nyumbani kwao Sajuki huko Songea,hiki ndicho alichokiandika mke wa Sajuki Wastara.BOFYA KUSOMA ZAIDI

3 comments:

  1. Mungu atakupa ila acjha kutoka na waimbaji au wacheza film ambao sifa zao hazina ukamilifu . Utajiharibia sifa .kwani ni kipindi kifupi sana umeonesha udhaifu wako kama ni kweli ila picha zilijieleza

    ReplyDelete
  2. Pole sana naelewa .Ila unalia na macho na unatafuta tabasamu . muda ni mchache ukakosa uvumilivu na kuingia skendo na LULU .Wastara jistir kama jina lako lilivyo usijipotezee barka .Ona Sajuki (Mola amweke pema ) Alikupokea hakujali sasa muombee Mola kuliko kuanza Skendo

    ReplyDelete
  3. Miye kutoka oman lakini daiman na soma sana habari za taz katika wa sanii weye number one nakupenda kwa vile unakavyo jiheshimu zaidi sana ulivyo muuguza mumeo mpaka kumzika mwenyezi mungu akujaliye na moyo wa subra usije ukawafatisha ao mastar wakosefu adabu baki na hishma yako mama skendo za kila siku siyo ustar utakapi kuwa na hishma yako ndiyo u star wako nakuombeya subra

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname