03 January 2016

SHILOLE AWA GUMZO TENA MITANDAONI BAADA YA KUTUPIA PICHA ZAKE HIZI MATATA,NI BALAA

Jan 2 2016 mastaa wa Bongo Shilole, Linah, Baba Levo, Bonge la nyau, Bill Nas na wengine walijumuika Zanzibar na kutoa burudani ya kufungulia mwaka.Hapa nakukutanisha na matukio mbalimbali katika picha kwenye show hiyo.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname