02 January 2016

LOWASSA MAMBO YAZIDI KUWA MAZITO,WAFUASI WAKE WAANZA KUISOMA NAMBA,ALAZIMIKA KUFUNGUKA MAZITO

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname