Watu tisa wamekufa , kumi na wawili hawajulikani walipo na sitini na
wanne wameokolewa baada ya boti ya Mv Yarabi Tunusuru Waliyokuwa
wakisafiria katika ziwa Tanganyika kutoka Kirando mkoani Rukwa kwenda
Kongo DRC kupitia kupinduka na kuzama katika Kijiji cha Herembe
wilayani Uvinza mkoani Kigoma Ijumaa usiku.
source ITV