02 January 2016

BREAKING NEWS : MAZITO YAIBUKA KUFUKUZWA KAZI MLINZI WA LOWASSA,

Aliyekuwa mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, Tendewa amefukuzwa kazi na mwajiri wake ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kikazi. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname