04 January 2016

BREAKING NEWZZ.....AJALI MBAYA YA BASI NA LORI ASUBUHI HII LIKITOKEA NJOMBE KWENDA DAR ES SALAAM..LIMEUA

 

 

WATU kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea leo ikihusisha basi kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Njombe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na ameiambia Efm kuwa bado wapo eneo la Tukio ili kuweza kutambua idadi ya watu waliopoteza maisha pamoja na majeruhi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname