28 May 2015

WEMA SEPETU MSAMEHE KAJALA,MASHABIKI WAMPIGIA MAGOTI WEMA

Ni Siku  moja  tu   imepita  toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao  ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya
kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na ndipo hapo alipoamsha hisia za mashabiki ambao wameanza kumuomba Wema Sepetu kumsamehe Kajala ili waweze kumaliza tofauti zao ambazo wanazo sasa.

 BONYEZA KUISOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname