28 May 2015

WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND NA ALIKIBA!

This is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond.
Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi karibuni Wema alitengeneza vichwa vya habari kwa kuonesha support kubwa kwa Alikiba (hasimu wa Diamond) katika kumuombeakura za KTMA. Kwa wengi hiyo ilitafsiriwa kama kisasi cha Wema kwa ex wake. Na wengine walihisi Kiba na Wema wana lao jambo! Lipi?
Hata hivyo kupitia kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Jumatatu hii, Wema alisema Kiba ni mtu wake wa karibu tangu siku nyingi na humuita jina la utani ‘bichwa’. 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname