28 May 2015

ZENGWE MTOTO WA AUNT EZEKEL APIGWA ZENGWE!

 
Aunt Ezekiel Grayson akiwa na mwanaye.

Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’.
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson.
Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt, washakunaku wa mambo ya watu waliozungumza na Amani baada ya kumuona Cookie walidai kwamba 




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname