Oops! wahenga walisema ajali haina kinga!!
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi Kim Kardashian
na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa
ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake
ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fakeLakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.
Inasemekana dada huyo alionekana
akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya marekebisho ya fasta.....majanga!!
Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki mmoja
akioza, wote wameoza heheh!
No comments:
Post a Comment