08 September 2014

Ulitamani kujua mwanamke anayetarajiwa kuolewa na Profesa Jay?kamtaja huyu.

Miongoni mwa manguli wa muziki wa Bongo Fleva Profesa Jay ambaye pia yuko kwenye list ya mastar walioufanya muziki wa Tanzania kupata nafasi ya kukubalika na kuheshimika.
prof jay 
Profesa Jay ambaye ni baba wa mtoto Lissa amekubali kuongea na Soudy Brown kuhusu mwanamke anayetegemea kumuoa kwa siku za usoni na kusema kuwa kama Mungu atajaaliwa anategemea kumuoa Mama Lissa ambaye ni mzazi mwenzake.
105.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Songea.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname