14 September 2014
JEURI YA PESA MARTIN KADINDA ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA TSH. MILION 15
Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa hujui basi chukua hii,
designer mkubwa wa nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia mtandao wako
wa jamii wa makubwa haya blog yakuwa yeye gari kwake sio ki2, kwa
kudhihirisha hilo ameamua kununua saa inayoitwa TAGHEURE yenye thamani
ya $9800 ambayo ni sawa sawa na milion 14 za kitanzania na hii ndio
kauli aliyoitoa designer martin kadinda kutokana na saa
hiyo....Yeeeeeeeeees I finaly own one…. #TAGHeuer #GrandCarrera watch…..
U own fancy car I own this Watch……. Google it if u dont mind..
Its all about uamuzi,design n fashion..big up kwa martin kadinda coz u
have done something different in the industry of Tanzania keep it up
jamany u really desearve to be congratulated..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment