ANGALIA PICHA FLODY MAYWEATHER AKIMCHAPA TENA MAIDANA
Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana.
Maidana akijibu mashambulizi wakati wa pambano hilo.
Mayweather akiwasili katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas kwa pambano hilo.
Bondia
Floyd Mayweather amemchapa tena mpinzani wake Marcos Maidana katika
mpambano wao uliopigwa kwenye Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las
Vegas, Marekani na kumalizika hivi punde.
No comments:
Post a Comment