Pichani
kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na
madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini
Shinyanga.
Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,atambulikae kwa jina la
kisanii Ommy Dimpo akiwaimbisha mashabiki huku akisherehekea siku yake
ya kuzaliwa na wakazi wa mji huo usiku katika tamasha la Fiesta ndani ya
uwanja mdogo wa Kambarage.
Mmoja
wa wasanii wa Bongofleva anaefanya vyema katika muziki huo atambulikae
kwa jina la Young Killer a.k.a Msodoki akiimba jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye
tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.
Pichani
juu na chini ni umati wa wakazi wa mji wa Shinyanga waliojitokeza kwa
wingi kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage,usiku
huu.
Wasanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na
Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi, huku
makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa
Kambarage mjini Shinyanga usiku wa kuamkia leo.
Sehemu
ya mashabiki wa Fiesta wakishangilia yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa
la Fiesta 2014 ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.
Mwanadada
Linah akionesha umahiri wake wa kucheza wimbo wake wa Ole Temba juu ya
jukwaa la Fiesta 2014 usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja
mdogo wa Kambarage.
Ukipenda
muite Mr Blue,msanii wa muziki wa kizazi kipya juu ya jukwaa la Fiesta
2014 usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.
Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,atambulikae kwa jina la
kisanii Ommy Dimpo akiimba mbele ya mashabiki wimbo wake wa ani kama
mama usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa
Kambarage
Wanajiita
Wakata Mkaa kutoka kundi la Wanaume TMK,Chege na Temba kwa pamoja
wakilishambulia jukwa la fiesta mbele ya umati wa watu (hawapo pichani)
ndani ya tamasha la Fiesta lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja
mdodo wa Kambarage mjini Shinyanga.
Wasanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Khadija anaetamba na wimbo wake wa
maumivu akiwa sambamba na mwanadada Rachael anaetamba na wimbo wake wa
Ole temba,kwa pamoja wakilishambulia jukwaa la Fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya
uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,atambulikae kwa jina la
kisanii Ommy Dimpo akiwaimbisha mashabiki wimbo wake wa nani kama
mamaa, usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa
Kambarage
Sehemu ya umati wa watu wakishangweka na na Fiesta usiku wa kuamkia leo.
Mmoja
wa wakali wa kukamua mangona kutoka Clouds FM, Dj Zero akikamua ngoma
jukwaani mbele ya umati wa wakazi wa Shinyanga kwenye tamasha la Fiesta
ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage
Sehemu
ya umati wa wakazi wa mji wa Shinyanga wakiwa ndani ya uwanja mdogo wa
Kambarage,wakishuhudia tamasha la Fiesta 2014 likifanyika usiku wa kuamkia leo.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa mji wa Shinyanga wakiwa ndani ya uwanja mdogo wa
Kambarage,wakishuhudia tamasha la Fiesta 2014 likifanyika usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment