Jumamosi
iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu
alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la
KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagram amepost picha hii ya
mtoto na kumuandikia maneno mazuriiiiiiiii
No comments:
Post a Comment