09 October 2013

HIZI NDIZO LAPTOP KALI KUTOKA KATIKA KAMPUNI YA GOOGLE IKISHIRIKIANA NA KAMPUNI YA HP

google hp chromebook 11
Kampuni ya Google imekuwa ikikuwa siku hadi siku kutokana na kuzidi kupanua Wigo wake wa kibiashara Duniani kwa sasa Google imeamua Kutengeneza Laptop ili kuzidi Kuimarisha
Ushindani wa  Kibiashara Duniani, Laptop Hizo zimepewa jina la The HP Chromebook 11. Kampuni ya Google ikishirikiana Hp imetangaza rasmi kuwa Laptop hizi zitakuwa zikipatikana kwa Bei ya Dola 279 {$279} za kimarekani. 



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname