09 October 2013

MSANII NAKAAYA SUMMARY AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME



 Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagram amepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mazuriiiiiiiii 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname