Mtoto wa miaka miwili wa Huaxi nchini
China, amefanyiwa upasuaji wa
kujifungua baada ya madaktari kugundua kuwa alikuwa na mimba.Xiao Feng,
alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuwa kubwa kiasi ambacho
alijikuta akishindwa kupumua.Alipolazwa, madaktari walichukua picha
za x-rays na MRI ba kugundua kuwa Feng alikuwa amebaba mimba isiyokua na
hivyo kuamua kumfanyia upasuaji. Waliiondoa mimba hiyo changa iliyokuwa
na upana wa cm 20 na tayari ilikuwa imeanza kuwa vidole. Mimba hiyo
ilitakuwa kuwa pacha wa mtoto huyo. Pacha huyo wa sponji angekua na kuwa
mtoto wa kiume. Feng akiwa amebebwa na mama yake baada ya upasuajiMapacha wanaofanana hutokea pale yai
linapojigawa wakati wa urutubishaji na mapacha walioungana hutokea pale
yai linaposhindwa kujigawa. SOURCE:BONGO 5
No comments:
Post a Comment