01 October 2013

ANGALIA PICHA ZA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISWA MAHAKAMANI MOROGORO LEO

 Sheikh Issa Ponda akishuka kwenye basi la Magereza tayari KuingiaMahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo ambapo leo Mahakama Ilikuwa inatoa Maamuzi kuhusu Kufutiwa shitaka moja kati ya matatu yanayomkabili Sheikh Ponda katika Mahamama hiyo.Mahakama Imetupilia Mbali Ombi hilo na kesi itaendelea Kusikilizwa katika Mahamama hiyo.Kesi hiyo imeahiriswa Mpaka tarehe 7 November mwaka huu ambapo mahakama itaanza kusikiliza Mashahidi wa kesi hiyo.Sheikh Ponda Amerudiswa Rumande.

 Sheikh Issa Ponda Akiingia katika viwanja vya mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa morogoro..BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname