01 October 2013

ANGALIA KAZI ZA VIJANA WA KITANZANIA.WATANZANIA TUPENDE VYA KWETU

Hii Ni Kazi iliyofanywa na kijana wa kitanzania Anayefahamika kwa jina la Denis Lekule.Ni Kijana wa kitanzaniua mwanafunzi wa chuo cha ardhi aliyejikita katika maswala ya Uchoraji wa Ramani za Majengo mbalimabalia Pamoja na Ujenzi.kwa mahitaji yako yako ya ramani za nyumba pamoja na ujenzi wasiliana nae kwa namba za simu +255 655 615 637 au+255 752 615 637.watanzania tuwaunge mkono vijana wetu ili waweze kujitegemea.




Ramani ya majengo ya biashara

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname