02 November 2015

WEMA ADAI LOWASSA ANGESHINDA, ANGEHAMA NCHI


Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu.
Imelda mtema
Maneno kuntu! Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu amefungua kinywa chake na kusema kuwa endapo Mgombea wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa angeshinda kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi uliopita, bila hiyana yeye angehama nchi. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname