CHEZEA
kifo wewe! Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwere ya mjini hapa ambaye jina
halikupatikana mara moja, akiwa mjamzito, amenusurika kifo baada ya
daladala walilopanda kutumbukia mtaroni na yeye kuchomokea kwenye
dirishani.
BOFYA HAPA INAENDELEA
BOFYA HAPA INAENDELEA

No comments:
Post a Comment