26 September 2013

MAONI YA WADAU MBALIMBALI KUHUSU SHINDANO LA MISS TANZANIA 2013

Kimodo September 25, 2013 at 7:21 AM
Wamejiandaa kimtindo,kwa maana mwaka kesho
tumeambiwa wanataka mashindano hayo kila mshiriki
atoke na bodaboda,mshindi wa kwanza atapata Bajaj
pamoja na mtaji wa kumuwezesha kupika mama Ntilie,na
mashindano yatafanyika uwanja wa Karume kwa kiingilio
cha sh 10,000/= VIP, buku kwa viti vya kawaida,ticket

zitaanza kuuzwa dec mwaka huu,wahi tiketi yako
mapema
Reply
Rosilicious September 25, 2013 at 8:58 AM
Hahahahahahhhh uwiiiiii my ribs jamaniii
khaaaa...haya anony tumekupataaaa
Anonymous September 25, 2013 at 10:20 AM
Roho mbaya ugonjwa,get well soon
Anonymous September 25, 2013 at 4:44 PM
mshindi wa mwisho anapewa makopo ya mkorogo ya
mwaka mzima.
Anonymous September 25, 2013 at 7:21 AM
SIJAWAHI ONA WATANZANIA WAMESIFIA KITU SORRY !
MLITAKA YAWAJE ? OHOO GARI MABINTI WADOGO HIVYO
MNATAKA WAPEWE X6 AU RANGE THEN BAADA YA HAPO
WAANZA KUTOMBESHA KWA WANAUME TOFAUTITOFAUTI
WAPATE PESA YA MAFUTA ?? TUNATAKA MUWAKILISHI
BASIIII NYINGINE MBWEMBWE TU
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 8:11 AM
Nakuunga mkono hiyo gari ni sawa kabisa,hawa
wasichana bado wadogo maana hiyo hata mzazi
anaweza kumudu kumuwekea mafuta badala mtoto
kuanza kuhangaika na mapedezee wakumaintain
gari
Anonymous September 25, 2013 at 8:43 AM
Kwahiyo ulitaka tusifie hata kama ilidoda?
Ilidoda bora na miss vitongoji kuliko hiyo miss tz.
Mwakilishi anatakiwa na burudani na mpangilio
unatakiwa utuburudishe na sisi watazamaji.
Acha iporomoke kabisa
Anonymous September 25, 2013 at 7:22 AM
HONGERA MISS WETU NIMESOMA HISTORIA YAKO
INAONYESHA ULIWAHI KUONGOZA SHULE 150 KWENYE
SOMO YA HESABU HUKO DUNIANI , SAFI SANA TUNATAKA
VICHWA SI MAMBURURA
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 9:27 AM
somo la accounts co hesabu
Anonymous September 25, 2013 at 10:16 AM
Ooh yes! I second u mdau sio mamburura ya
kukimbizana na magazeti ya udaku kila kukicha,na
kuishia kumegwa na diamond
Anonymous September 25, 2013 at 12:52 PM
Natumai Miss aliyepatikana anakidhi vigezo
kinachotakiwa ni usimamizi ulio bora wakati huu
wa kujiandaa.Ila mandalizi kiujumla ni mabovu
sana nadahani balaza la sanaa liitishe zabuni hii
upya ya kupata muandaaji mwingine wa shindano
hili limeshuka sana kuanzai warembo wanaoshiriki
mapaka waandaaji.Inasikitisha hata huyu wa
mwaka huu anayeshiriki miss word ni KIBONGE
hatari.
Msukule wa Sintah September 25, 2013 at 2:54 PM
Beuty and brain big up miss wetu sasa wasikuhadae
na kuuza sura peke yake tuletee na madegree
mpenzi role model wa ukwee mwaa mwaa
Komando Yosso September 25, 2013 at 7:23 AM
Kiujumla waliopewa kurusha matangazo ya umiss kwa
njia ya TV,ilikuwa big NO Star Tv camera zenu zilikuwa
mara zoom out mara Zoom in.
Japo Sauda alipendeza ila quality nzima ya picha ilikuwa
Big Zero maana nilikuwa nawaona watu kwa mbali sanaa.
Kingine MC jamani kwa Kidoti walishindwa mbook mapema
shughuli ilipwayaa Mc hakuchangamsha ukumbi.
Waliotumbuiza stage iliwameza wote nguchu!!!! huyo
Michael Ross(Sio Rose kama sintah alivyoandika) ndo
kabisa ckuona burudani yake c wangemleta hata jose
chamelione basi loh. ALL in ALL Majudge walipendeza
sana....
NB: anduje uwe unaangalia spelling kwanza makosa ya
kisarufi mengi sana kwenye post zako.
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 7:33 AM
hahahahahaaa wewe mdau umenichekesha sanaa!!!
watu kwa kuchungulia michapio hamjambo,... eti
Michael Ross sio Rose!!!!!hhahaaa
rubby platinum September 25, 2013 at 9:28 AM
Afu ati ndo anajiita msomi.. Mxchuuuuuuuuuuuu
msomi ma Ass!!!
Anonymous September 25, 2013 at 9:30 AM
i second u kwa star tv walichemsha sana hata
rangi ilikua km black n white.....watangazaji
walikua wanatangaza km matangazo ya mpira
pyuuuu
Anonymous September 25, 2013 at 12:05 PM
mdau umenena ila sintah mbona kaandika michael
ross au hujaona vizuri?
Anonymous September 25, 2013 at 12:53 PM
Kwa mara ya kwanza Sauda Mwilima kapatia
dressing conde,Naona kapata somo mpya.
Anonymous September 25, 2013 at 4:27 PM
hahahaa dressing conde, hihihii!
Anonymous September 25, 2013 at 4:37 PM
dress code pliiiiz...mnamshushu SINTAH ILHAL NA
NYIE MNACHAPIA
Anonymous September 25, 2013 at 7:38 AM
1: SHINDANO HALIJAPOLOMOKA BT LIMEANGUKA NA KUFA
SHINDANO HALINA MSISIMKO KAMA ENZ IZO NADHANI
TANZANIA SHINDANO LIMEBAKI MOJA BONGO STAR
SEARCH TU MENGINE SIO MASHINDANO NI SHEREHE
2:MSHINDI SIO MZURI SANA SEMA WAMEMCHAGUA COZ
KICHWANI ANAZO KILICHOMFANYA ASHINDE NI SABABU
KAMAT IMECHOSHWA NA ELIMU ZA KUUNGA UNGA. HAPPY
SIO MZURI SANA ILA ELIMU IMEMSAIDIA
3:BURUDAN ILIKUWA ZIROOOO YAAAN ZIROOOOO MAMIS
WANACHEZA PERSONAL HATA HAWAJUI SI BORA
WANGECHEZA NGOLOLO YA DIAMOND COZ SIO MGUMU
4:KUHUSU GARI SITII NENO COZ EVEN MIMI SINA GARI
SO MI NAJIONEA SAWA TU
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 3:05 PM
Mdau umesema kweli akili anazo lakini
anamapungufu kidogo ya vigezo tatizo limeanzia
walikoyoka mamiss vigezo havikuzingatiwa majaji
wakaamua wachague akili zaidi msinielewe vibaya
bado namsifia miss wetu smart
Anonymous September 25, 2013 at 7:45 AM
Siku hizi watu wamechukulia Miss Tz ni jambo la kawaida
tu tofauti na zamani!!bora wangemleta Rose muhando
angechangamsha kidogo sasa nini kile!!!!!! waangalie
wapi pamepinda wapanyooshe, Miss ni mrembo ila hicho
kivazi chake alikuwa uchi kabisaaa wajaribu kuandaa
mavazi ya kusitiri mwili sio kukalia watu uchi!!!!!!!
vipaja vyote nje nje!!!! ndio maana wazazi wengi
wanashindwa kuwaruhusu watoto wao kushiriki!!!!
(MAVAZI YAZINGATIWEE HATA UKIVAA GUNIA KAMA WEWE
NI MREMBO UTAONEKANA TU)
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 7:46 AM
NADHANI KWANZIA NEXT YEAR WASILIITE SHINDANO LA
MISS TANZANIA WAKIITA SHEREHE YA MISS TANZANIA
INATOSHA COZ HII NI SHEREHE SHINDANO GANI HALINA
MVUTO. ASILIMIA 80 YA WALIOENDA KUANGALIA NI
WALIOKO KWENYE TASNIA YA UREMBO NA AMBAO NDUGU
ZAO WANASHIRIKI ILA KINA SISI WALIKUWA WACHACHE
TU UKATAFUTE NINI SHINDANO FUPIIIII. NANGOJA BONGO
STAR SEARCH SINA NDUGU SIKO KWENYE MUZIKI BT NAJUA
BSS HUWA HAWAKOSEI
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 8:06 AM
Hao majaji mie hoi
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 8:08 AM
MISS TANZANIA SIO SHINDANO TENA ULE NI USIKU WA
MISS TZ KUVIKWA TAJI. SHINDANO GANI HATA HALINA
MSHAWASHA WENYE MSHAWASHA KWA WATZ. MC MBAYA.
HUYO MISS TZ MBAYA (BT KICHWANI ANA AKILI SANAAAA
MAY B DAT WHY WAMEMCHAGUA). BURUDANI NDO
KABISAAAAAAAAAA MICHAEL ROss KAFULIA.
Reply
rubby platinum September 25, 2013 at 2:18 PM
Anony pls save thoz guilty words.. Hyo bnt c
mbaya, iv wabaya unawajua kwli?! ni msichana wa
kawaida wa asili ya ki-Africa, nasema hvy coz
nlimuona wikend flan iv J2 walkw Jangwani Sea
Breeze kwny mashindano y kuogelea, I swear she
ws Make-Up Off bt stil U cn see her natural
beauty... Na alicho nifurahisha kbs sh z awesome
in swimming, mtt w kike alkw anaswim kma samaki
& sh ws th Winner. Jaman mpeni sifa zke, bsds she
z Genius. Mpk hpo 2 yatosha.
Anonymous September 25, 2013 at 8:52 AM
mi naona waandaji na wadhamini wa mashindano
wajipange upya
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 5:21 PM
well said mdau wakijipanga vizuri watajitokeza
warembo wa maana zaidi wasomi waliotulia na
wanavigezo kwa sasa hivi kumejaa warembo wenye
nia ya kujipatia kiki za kujulikana mjini hii blog
inasomwa na wengi wanatusikia tunayosema
mbadilike tumechoka kuwa wasindikizaji
kim September 25, 2013 at 8:52 AM
OKAY next year itakua vitzs afu babaj then boda boda mis
wa mwaka 2015 ata shinda baiskeli
Reply
Rosilicious September 25, 2013 at 8:55 AM
Uwiiii sintah!!mi hii yaleo na udaku wangu woteee
hamuwez amin!!wala cjui hii kitu imefanyika lin na wapi
jamani!!hv walitangaza kweli kwenye media??uwiii
kumbe umeshapita hii miss tz.yeleuwiiii km cpo dsm
miee.mbona aibu,,khaa ht cha kuchangia cna ndo kwanza
naona hapa wallahii.daah hii ya mwaka huu mm nimetoa
kali khaaa!!!
Reply
rubby platinum September 25, 2013 at 2:07 PM
Besti wantia aibu ss, utafkir upo sayari ya Pluto
mana ndo ipo hkooooooo!
rubby platinum September 25, 2013 at 2:10 PM
Ila ckushangai Rose, kma nlivosema kule juu Miss
TZ z miaka hii hazina amshaamsha yan kmykmy mno
m2 unashtukizia tu k2 hki hpa unabaki kutoa
macho.
Msukule wa Sintah September 25, 2013 at 8:56 AM
wakati umefika wabadilishe waandaaji tangu mwaka 47
ni hao hao wameshazeeka na kuchoka leteni vijana
walete mawazo mapya nguvu mpya mwee hata uraisi
miaka yako mitano unatoka sio kama hawakupendi ila
ukizidi muda akili nayo inadumaa hayo mashindano
wangepewa watu tenda waigombee sio kupeana kwa
kujuana na kutafuta ulaji hamuoni wenzenu brazili
wanaongoza kwa kutoa mamiss hebu tujifunze wenzetu
wanafanyaje na sisi tuige watanzania hatupo serious
kabisa tubadilike
Reply
Anonymous September 25, 2013 at 3:26 PM
nimekupendaje wewe hapo juuu!!!! kama wanasoma
humu.. wafanyie kaz ushauri wako @msukule wa
sint!!!!!! ila hilo jina lako shost linatishia amani!!!
Anonymous September 25, 2013 at 9:09 AM
ngoja nitiririke kidogo kwa maon

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname