BAADA YA KUSEMA MAGUFULI ANAFUATA ILANI YAO UKAWA SASA WAMKANA KUWA SIO ILANI YAO TENA ONA HAPA LIVE!!
Toka
Rais Magufuli ashike madaraka UKAWA wamekuwa wakidai anatumia ilani
yao, mpaka bomoa bomoa ilipoanza wameanza kujitenga kwa mbali kwamba sio
ilani yao, wananchi wengi wanajiuliza kwamba ni kweli ilikuwa ilani yao
toka mwanzo au kuna mtu alichomoa huu ukurasa?
No comments:
Post a Comment