TAIFA
liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya
Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa
mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari
Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:
Post a Comment