BIRTHDAY PARTY YA WEMA SEPETU NI KUFURU,

Mkurugenzi
wa Endless Fame, Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa
imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha
siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall,
uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower.
No comments:
Post a Comment