CHETI chake
cha kuzaliwa, kimeandikwa Damian Zefrin Lubuva. Huyu ni Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye alizaliwa Septemba 21, 1940 katika
Kijiji cha Haubi Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma.
Alipata
elimu ya msingi katika Shule ya Kuta kuanzia mwaka 1949 hadi 1952 na
katika Shule ya Kati ya St. Gabriel Catholic Kondoa kuanzia mwaka 1953
hadi 1956.

No comments:
Post a Comment