03 November 2015

UTABIRI:YASEMEKANA HILI NDILO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI,LITAZAME HAPA LIVE..


Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele ya wagombea wengine ambao ni Anna Elisha Mghwira (ACT-Wazalendo), Hashim Rungwe Spunda (Chaumma), John Pombe Magufuli (CCM) na Edward Nyoyai Lowassa (Chadema akiungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi, Ukawa ambao ni Cuf, NCCR-Mageuzi na NLD).
Wengine ni Macmillan Lyimo Elifatio (TLP), Chief Lutasola Yemba (ADC), Malick Jankin Kasambala (NRA) na Fahim Dovutwa Nassoro (UPDP).  


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname