01 November 2015

CHADEMA WAKANUSHA KUHUSU HABARI INAYOENEA MTANDAONI KUHUSU ICJ NA ICC

Salaam
Ziko habari zimezushwa, kuenezwa na sasa zinakuzwa kuwa mgombea urais wa CHADEMA na chama kwa ujumla kimefungua shauri Mahakama za Kimataifa, kuhusu ubakwaji wa demokrasia na hujuma dhidi ya Watanzania uliofanyika kwenye Uchaguzi (uchafuzi?) Mkuu uliofanyika Oktoba 25.
Itoshe tu kusema kuwa hadi kwa hatua ya s asa habari hizo si za kweli. Ni uzushi.  


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname