22 June 2015

BIFU LA WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMS FAIDA KWA DAVIDO



Ukitaka kujua kuna watu hawana kazi ya kufanya utaangalia tofauti ya comment za kwenye post ya Davido kwenye instagram. Kawaida huwa anapata comment 100 hadi 200. Lakini post hii ambayo aliyoweka picha ya bendera ya Tanzania imepata zaidi ya comment 2600 ndani ya masaa 4.Ukiangalia comment zimejaa za wa Tanzania waki-comment ujinga kumpa support na wachache wakiongea vitu vya msingi. Hapa ni
hivi, kuna kundi la watu wanaongoza kampeni za kumpigia kura Davido kwenye vipengele vya MTV Awards ambapo Davido yupo na Diamond...Kisa cha Watu kumpigia Kura Davido Kinatokana na Ugomvi wa Diamond na Wema Sepetu Ambao walikuwa ni Wapenzi zamani...Wema Sepetu na Team yake ndio vinara wa kuwashawishi watu wampigie kura Davido Badala ya Diamond..  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname