21 June 2015

Korea ya Kaskazini imesema kuwa imegundua Tiba ya UKIMWI..kutoka katika MMEA HUU



Korea ya Kaskazini imesema kuwa imegundua Tiba ya UKIMWI kutoka kwenye mmea. Uthibitisho wa Kisayansi kutoka Nchi nyingine haujafanyika kuthibitisha tiba hiyo.
-Kwa mujibu wa tovuti moja ya Korea ya Kaskazini, dawa hiyo kwa mara ya kwanza iligunduliwa mwaka 1996

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname