| Na Dustan Shekidele |
MJAMZITO wa miezi saba Bi. Mwanaidi Athumani mkazi wa Chamwino Morogoro hivi karibuni alifanya mchepuko wa kutoka nje ya ndoa na kujikuta akijifungua mtoto wa kiume ndani ya gesti iliyopo maeneo ya Mafisa mjini hapa,
Risasi Mchanganyiko lina data za kutosha.
| Bi. Mwanaidi Athumani akiwa na kichanga chake baada ya kujifungua gesti. |
Habari zinasema kuwa mwanamke huyo alifanya mchepuko huo baada ya mumewe kusafiri kwenda kutafuta fedha za maandalizi ya kujifungua kwake.ANGALIA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment