02 January 2016

RAIS MAGUFULI NI BALAA,KIAPO CHA MOTO CHAWASHTUA WENGI,MAGUFULI AWATWISHA MZIGO WATENDAJI HAWA

Rais John Magufuli, akimuapisha Katibu Mkuu waHalfa ya kuapishwa kwa makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu 26 iliyofanyika jana Ikulu Jijini Dar es Salaam ilikuwa ya aina yake kutokana na kuapa mara mbili, huku Rais John Magufuli akiwaeleza kuwa asiyeweza kazi “aseme asile kiapo, akae kando”.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname