02 January 2016

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATI MPYA WA KUTUMBUA MAJIPU,ATAJA WANAOFUATIWA KUTUMBULIWA,WENYEWE WAHAHA KILA KONA KUMKWEPA

Baada ya kuanza kwa kasi zoezi la ‘utumbuaji majipu’ katika sekta ya fedha, mkazo ukiwa zaidi katika kuzuia ukwepaji kodi katika Mamlaka ya Mapato (TRA) na Mamlaka ya Bandari (TPA) zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango na Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Rais John Magufuli anajiandaa kushughulikia tatizo la ufisadi katika ngazi ya Halmashauri za Manispaa na Miji.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname