02 January 2016

KAMANDA KOVA AELEZA MAGUFULI NA LOWASA WALIVYOMTESA MWAKA 2015

ALIYEKUWA Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amestaafu rasmi na kuagwa jana huku akikiri kuwa hatasahau joto la uchaguzi mkuu 2015 lililosababishwa zaidi na mchuano wa wafuasi wa wagombea urais John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname