SPIKA
WA BUNGE, JOB NDUGAI AMEREJEA LEO KUTOKA INDIA ALIKOKUWA KWA AJILI YA
MATIBABU. AWASHUKURU WATANZANIA KWA MAOMBI YAO. AELEZEA HALI YAKE KUWA
NI IMARA KABISA.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg234Z5qsw8yaLJnb7hq4UMwFsiLUjtd0Yryw1nlGH-tJfeAqvMItQ5NkCEWEtUni5BtvZou1Na0jWCZC_OQf0iJ-8RVozjZC18fEr66i69N6mXvfLih_O_uOEZQX5-hEBT34Mas1LIiE79/s640/a.JPG)
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia
Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa
kwa ajili ya matibabu.

No comments:
Post a Comment