30 December 2015

Rais Dk. John Magufuli atangaza makatibu wakuu wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli (katikati), akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, wakisikiliza kwa makini.
Rais Dk. John Magufuli (kushoto), akiwaonesha orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu aliowateua, huku Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati), na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, wakishudia.
Rais Dk. John Magufuli akiwaonesha orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu aliowateua huku Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, wakishudia
Rais Dk. John Magufuli, akiagana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, mara baada ya kumkabidhi orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu aliwateua leo Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)




 Dk. Magufuli alifanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
 
KUSOMA MAJINA YA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU 
 
WAPYA 
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname