30 December 2015

MAZITO YAFICHUKA ,MBUNGE ALIZWA MAMILIONI KUSAKA UWAZIRI


WAZIRI na Naibu Waziri wake katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameshindwa kufanikiwa kwenye juhudi zao za kushawishi wapate uwaziri katika Serikali ya Rais, Dk. John Magufuli, huku mmoja kati yao akitapeliwa shilingi milioni 40.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname