Waziri
wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema serikali inatarajia
kukusanya kiasi cha Sh. trilioni 1.3 ndani ya mwezi huu pekee
Aidha,
amesema ili kuhakikisha serikali inapata mapato ya kutosha, atasimamia
vyema suala la kukusanya kodi zinazostahili na kutengeneza mazingira ya
watu kulipa kodi.
No comments:
Post a Comment