Hatimaye
lile sekeseke la ndoa ya meneja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaosimamiwa
na Kampuni ya Endless Fame, Petit Man na mdogo wa mwanamuziki Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz limemdondokea Wema Isaac Sepetu
anayedaiwa kuitibua kiasi cha kuwatenganisha na kila mmoja kuchukua
hamsini zake.
Habari
kutoka chanzo chetu zilidai kwamba, Wema amehusika kwa asilimia kubwa
kutibua ndoa hiyo kwani amekuwa akimtafutia mademu Petit Man, jambo
ambalo Esma alilishtukia na kuamua kumbwatukia Wema kwa kuandika maneno
makali kwenye mitandao ya kijamii.SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment