HII NDO JEURI YA PESA TOKA KWA JOSE CHAMELEONE..ATENGENEZEWA SIMU AINA YA I-PHONE 5 YENYE PICHA YAKE .ANGALIA HAPA
Ukiwa na hela, unaweza kufanya lolote. Kila mwenye nazo anaweza
kumiliki iPhone 5 lakini Jose Chameleone angependa kuwa na yake
mwenyewe, ndio maana ameamua kuingia zaidi mfukoni kutengenezewa yake
mwenyewe. Itazame hapa.
No comments:
Post a Comment