16 April 2015

HUYU NDIYE MSANII WA KIUME KUTOKA BONGO ANAYEONGOZA KWA KUPENDWA NA MABINTI...MTAZAME HAPA

 

 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu. Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.











No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname