17 April 2015

MAZITO YAMKUTA KAJALA,AIBIWA NGUO YA NDANI NA KUIKUTA IKIWA IMELOWA DAMU!!

MAUZAUZA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta nje ikiwa imeloa damu, Ijumaa lina mchapo kamili.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona.

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’.BOFYA KUSOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname